Ambao video compilations

Home | Blog | Carnaval 2008 | Videos

IDF - Sing  with Israeli troops! *   7/28/06 Shabat IDF - Sing with Israeli troops! * 7/28/06 Shabat
Posted by: wolficatz

Video duration: 567 seconds
Global video hits: 25277

Entertaining Israeli soldiers somewhere in the warzone during Shabat.
Notice one of the Merkava tanks has what appears to be battle damage from a RPG. Dedicated to Moshe Ambao.

Related: ambao, conflict, crisis, dance, east, hebrew, hezbollah, idol, israel, lebanon, llah, middle, moshe, nasrallah, shabat, shalom, sing, war

Raila asema washukiwa wa ghasia za uchaguzi waachiliwe Raila asema washukiwa wa ghasia za uchaguzi waachiliwe
Posted by: standardgroupkenya

Video duration: 102 seconds
Global video hits: 3435

Waziri mkuu Raila Odinga kwa mara nyingine tena amerejelea umuhimu wa kuachiliwa kwa washukiwa wa ghasia za baada ya uchaguzi. Raila ana maoni kuwa amani haitorejea iwapo polisi ambao anashtumu wataendelea kushikilia washukiwa hao bila mashtaka yafaayo. Raila amedokeza kuwa ni kupitia tume ya Waki ambapo maswala kama hayo ya baada ya uchaguzi yanafaa yajadiliwe.

Related: amani, ambao, ambapo, amedokeza, amerejelea, ana, anashtumu, baada, bila, ghasia, haitorejea, hao, hayo, iwapo, kama, kuachiliwa, kupitia, kushikilia, kuwa, kwa, maoni, mara, mashtaka, maswala, mkuu, ni, nyingine, odinga, polisi, raila, tena, tume, uchaguzi, uchaguzi., umuhimu, wa, waki, washukiwa, wataendelea, waziri, ya, yafaayo., yajadiliwe., yanafaa, za

Wakulima wanatishia kungoa majani chai Wakulima wanatishia kungoa majani chai
Posted by: standardgroupkenya

Video duration: 157 seconds
Global video hits: 2033

Ukulima wa majani chai ambao umezongwa na matatizo si haba bado haujaratibiwa kabisa licha ya Rais Mwai Kibaki kutoa onyo kwa wakulima dhidi ya kungoa mmea wa majani chai wakulima wamehimizwa wawe na subira hadi mambo yalainishwe. Lakini baadhi ya wakulima katika maeneo ya Muranga wanatishia kuendelea kungoa majani chai yao iwapo serikali haitoingilia suala hili kwa dharura.

Related: group, kenya, standard

kijiji chetu kijiji chetu
Posted by: markoravnice

Video duration: 77 seconds
Global video hits: 70

kijiji chetu kinaitwa Mkongobaki!!! Kuna milima mingi na ni baridi sana!!! Nashukuru sana watu ambao wanaishi Mkongobaki - Wanaitwa "Wapangwa" - kwa kutukaribisha kijijini chetu hiki...asanteni sana.

Related: filipovic, marko, spw, tanzania

chupa za maji ya kunywa chupa za maji ya kunywa
Posted by: markoravnice

Video duration: 53 seconds
Global video hits: 67

kuna 1000 chupa za maji ya kunywa 1.5L...sasa watu ambao wanaishi vijijini vya Mkongobaki na Ugera wanaweza kufanya maji yawe ni safi na salama na ni rahisi mno kutengeneza...nashuk uru Mungu

Related: filipovic, marko, spw, tanzania

Wakimbizi Wa Ghasia Za Uchaguzi Wanaweza Kukosa Kufanya Mtihani Wakimbizi Wa Ghasia Za Uchaguzi Wanaweza Kukosa Kufanya Mtihani
Posted by: kenyacitizentv

Video duration: 85 seconds
Global video hits: 30

wanafunzi ambao ni wakimbizi wa ghasia za uchaguzi wanaweza kukosa kufanya mtihani.

Related: elections, kenya, violence

bajada de panalones bajada de panalones
Posted by: Gallinllilli

Video duration: 15 seconds
Global video hits: 23

aqui al napo le bajamos los panalones que kague y todo el cole ambao le vio el trasero

Related: bromas

Vita vyazuka kanisani Limuru Vita vyazuka kanisani Limuru
Posted by: standardgroupkenya

Video duration: 121 seconds
Global video hits: 2405

Jumapili ni siku ya kumwabudu mwenyezi mungu kwa wakristo kote duniani lakini kanisa moja mjini Limuru, iligeuzwa na kuwa siku ya vita. Kina mama ambao kwa kawaida husaidia katika shughuli za kanisa walipata jukumu la kuhakikisha kuwepo kwa mawe ya kutosha wakati wa mapigano hayo.

Related: kanisani, kenya, limuru, vita, vyazuka

Page: 1

  Search for a video theme of your choice.

 

You like it? Share it!



Haiti videos :: Social Bookmarking Social Bookmarking :: Videos are copyright their respective owners.